Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,162
- 17,316
Juz kati hapa nilikuwa naumwa tumbo la kuendesha ikanibidi niende hospitali ya Mwananyamala niliyoyakjuta humo ndan kwenye vyoo vyao ni shida kwa kwel.....Yaan vyoo vimejaa ,vinyesi vimetapakaa kwenye sink watu mpaka wanajisaidia pembeni,....nikajiuliza tena nikajiuliza sana hiv hapa kwel ndio mtu akiumwa ndio anakuja kutibiwa ama vip?
Nilitegemea hospital ndio iwe mfano linapikuja swala la afya maana ndio kuna wataalam wengi wa afya wapo humo lakin naona imekuwa tofauti.
Nilitegemea hospital ndio iwe mfano linapikuja swala la afya maana ndio kuna wataalam wengi wa afya wapo humo lakin naona imekuwa tofauti.