Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,929
- 95,608
King'asti nimeshindwa kuedit hiyo heading, hebu nipe maujanja mkuu!Hivyo sio vyoo kaka. Ni masinki ya kunawia mikono. Usije ukaharibu hapo
Hivyo sio vyoo kaka. Ni masinki ya kunawia mikono. Usije ukaharibu hapo
Siyo masinki ila mabeseni ya kunawia mikono.
HahahaahHehehe.
Yanafaa kufulia pia?
Vinapatikana wapi??