Ceas
Senior Member
- May 5, 2019
- 193
- 204
- Thread starter
- #21
Kama alijitolea kufa ila kuyasemea hayo itabidi tu aseme. Na kama amefanyiwa kinyume na maumbile basi ajione tu kwa sasa hana thaman, na aamue tu kufichua ili wahusika wafahamikeJamaa kapigika wakuu na wasi wasi hatofungua mdomo kusema yaliyomsibu. Na kama hawajamhasi basi lazima watakuwa wamemfanyia ukatili wa kijinsia. Hapo inahitaji ujasiri mkubwa kuuambia umma yaliyokupata.