Vyombo vya ulinzi na usalama mko wapi katika hili?

Kama ulishafahamu kuwa kwa sasa anapatikana wapi, mbona hujaeleza kama uliwahi kuwasiliana na viongozi wake?? au ulishapeleka summons?? zaidi kinachoonekana hapa ni nia yako ya kumchafua huyo jamaa katika media, na kwa vile labda naye hana fursa ya kukujibu humu. Au labda wewe ndiye mkewe ambaye amekukimbia na ameoa mwanamke mwingine sasa povu linakutoka!! Tuache tujadili mambo mazito yanayolikumba taifa kwa sasa, unless utueleze kuwa naye ni mtu mkubwa sana asiyewezekana kama mgao wa umeme.

Acha ushamba wewe bwe.ge umejadili mambo mangapi unayo yaita ya maana na hakuna lolote lililo fanyika,kama una hamu ya kupaliliwa maboga yako makubwa uliyoyaotesha si bora useme tu tuyapalilie.
 
Mods kama vipi huu uzi uwe sticky ili tuendeleze harakati za kupambana na matapeli.
 
Back
Top Bottom