Vyombo vya ulinzi na usalama mko wapi katika hili?

Kilichokufanya ujipeleke huko ni nn? Umejitakia mwenyewe kwa hyo huyo bwana yuko sahihi na ikumbukwe kua watanzania wengi tunapenda short cut
 
Wakuu hili jambo ni zito, yupo pia Uvccm huko. Simiyu Yetu, Zemarcopolo, Mwanadiwani, Lizaboni, Ritz1 et al njooni mwenzenu huyo.

Taifa la matapeli na yanalindwa kwa hali yoyote na mfumo
 
Wakuu hili jambo ni zito, yupo pia Uvccm huko. Simiyu Yetu, Zemarcopolo, Mwanadiwani, Lizaboni, Ritz1 et al njooni mwenzenu huyo.

Taifa la matapeli na yanalindwa kwa hali yoyote na mfumo

CCM chama cha matapeli na wabakaji kinawalinda watu wake kwa kila namna,ni aibu kwa mtu kulitumia jina la chama kutapeli watu halafu hachukuliwi hatua yoyote ile.
 
Kilichokufanya ujipeleke huko ni nn? Umejitakia mwenyewe kwa hyo huyo bwana yuko sahihi na ikumbukwe kua watanzania wengi tunapenda short cut

We nawe ndio walewale usije kuta ndio wewe Muhusika Mkuu(MM) ulietajwa kwenye huu uzi na ndio maana unatetea utapeli.
 
Unataka kusaidiwa husemi Airwing ya wapi!! zipo nyingi au taarifa hii nayo umetapeliwa?

kwani kwa tanzania mtu akisema Airwing kila mtu anajua ni dar licha ya kua ziko nyingi au mi ndivyo nilivyo muelewa mtoa mada.
 
huyu jamaa mimi akitaka eti kunitafutia kazi kama Afisa Tawala chuo cha Veta akaniambia nimpe laki nne kwa bahati nzuri nikamwambia mpaka nipate kwanza ndipo apewe dah! namshukuru mungu nipata kazi bila kutapeliwa kumbe huyu jamaa ni tapeli Sugu dah! Jf ni kila kitu hapa .
 
Wakuu nimeikuta hii sehemu, hakika Jeshi la wananchi haliwezi kukwepa kadhia hii ya kuajiri tapeli ambaye watu wanahaingaka kumtafuta na wapo kimya.

Jisomeeni wenywewe;

Ni kijana mzaliwa wilaya ya Same kata ya Suji kijiji cha Tae,ni tapeli mkubwa anae jifanya usalama wa taifa,uvccm,afisa wa tamisemi,TRA,NECTA N.K...jina lake halisi ni NELSON SAFIEL MTETA (MANDELA),amewahi kufanya kazi VETA Tanga,morogoro,kibaha na sasa kuna taarifa kuwa anafanya kazi karakana ya jeshi airwing. Ambapo kuingia tu kumuona unaweza kula kichapo kwa wazee wa kazi.

Mtu huyu wana jf ni tapeli mkubwa akiwa jijini tanga amewatapeli wafanya biashara kibao akijifanya ni afisa wa TRA,amewatapeli vijana wengi akijifanya atawapatia leseni za udereva,ametapeli walimu kwa kujifanya atawahamisha vituo vyao vya kazi na kuwapandisha madaraja,amewatapeli watu wengi tu akijifanya atawapatia nafasi za jeshi,jkt,polisi na magereza,na hata kuwatafutia vyeti feki vya form 4 na 6,amemtapeli hata na mkewe ambae ni mwalimu (Safiness Brown Abbas) wa shule moja ya msingi jijini tanga na kumtelekeza kwa kumnyanganya documents zake za kazi, namba anazotumia ni 0784/0657 991187,0652 717271,0755 441940.

Mimi mwenyewe amenitapeli pesa taslimu TSH laki 8 namsaka kwa udi na uvumba usiku na mchana....

JIEPUSHENI NAE.

Kama ulishafahamu kuwa kwa sasa anapatikana wapi, mbona hujaeleza kama uliwahi kuwasiliana na viongozi wake?? au ulishapeleka summons?? zaidi kinachoonekana hapa ni nia yako ya kumchafua huyo jamaa katika media, na kwa vile labda naye hana fursa ya kukujibu humu. Au labda wewe ndiye mkewe ambaye amekukimbia na ameoa mwanamke mwingine sasa povu linakutoka!! Tuache tujadili mambo mazito yanayolikumba taifa kwa sasa, unless utueleze kuwa naye ni mtu mkubwa sana asiyewezekana kama mgao wa umeme.
 
Acha ungese nani mwanamke hapa? Labda wewe ni mwanamke wa pili.
 
huyu jamaa mimi akitaka eti kunitafutia kazi kama Afisa Tawala chuo cha Veta akaniambia nimpe laki nne kwa bahati nzuri nikamwambia mpaka nipate kwanza ndipo apewe dah! namshukuru mungu nipata kazi bila kutapeliwa kumbe huyu jamaa ni tapeli Sugu dah! Jf ni kila kitu hapa .

Unaona sasa....
 
Back
Top Bottom