masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 17,882
- 13,172
exactly,vilijitoa kwenye sura ya utaifa vikawa vyombo vya siasa,ndio maana DJP anawakanyagiaHii inaonesha na inaleta picha kuwa Vyombo vyote vya kijasusi vilikuwa vinafanya kazi kwa unafki na kisiasa kwa jina la National security interests.
Mategemeo ni Trump kuomba radhi.
Haya sasa, Trump anaiponda fimbo ya kupigia nyoka!
Siyo rahisi mkuu, kwa wenzetu kuvifumua vyombo hivyo ambavyo viko independent operationally ni kazi kubwa.Walah! Jamaa akiingia White House atafanya vumua vumua kama ya Jp,hivyo waliopo wanajaribu kumchonganisha na Masenator.
Siyo rahisi mkuu, kwa wenzetu kuvifumua vyombo hivyo ambavyo viko independent operationally ni kazi kubwa.
Not so easy mkuu.Ni rahisi sana!
Kama Raisi Trump atakubaliana na Baraza la Senet hakuna kinachoshindikana. Kwanza atateua Watu wake! Pili watamletea tathimini- baada ya hapo Seneti itaarifiwa na kupewa nafasi ya kujadili kwa masilahi ya USA.Wenzetu cha kwanza USA kwa 100yrs ijayo kama mpango unakidhi haja hiyo hapatakuwa na mkwamo.
Not so easy mkuu.
Fuatilia kuanzia sakata la uhasama wa John Fitzgerald Kennedy na vyombo vya Usalama , hususan FBI, na mabaya yaliyomkuta.
Msuguano kama wa Trumbp na Obama vle vile uliwahi kuwepo kai ya rumana aliyekuwa na maliza muda wake na Eisehower , rais aliyekuwa anaingia ambaye hakutaka National Security Briefings toka kwa mtanguizi wake.
Kwani mpaka warusi wanadukua hao homeland security walikuwa wapi?
FBI walikuwa wanafanya nini?
Au CIA ndio iliwafungulia backdoor wadukuzi??
Mkuu hao jamaa ni leaders of the underworld.Kwa enzi zile yes. Dunia ya sasa michezo kama ile inaweza kusambaratisha USA! Unajua kuna state ngapi ndani ya USA.
Utajiri wa trump ameachiwa na baba yake mzazi jaribu ata kugoogle uone jamani wabongo kusoma hamtaki mnataka mtunge vitu vyenu kishilawadu tuHapo ndipo jeuri ya TRUMP ilipo.Inawezekana ameona system ya usalama ya marekani iko weak kwenye utawala wake labda atatumia security system ya kirusi kwa rafiki yake putin.
Inawezekana Trump alikuwa recruit wa russia kwa miaka nenda rudi akiandaliwa kuwa raisi wa marekani.Utajiri alionao waweza kuwa sio wake ni mali za warusi yeye ni agent tu na mshika mali za akina Putin na matajiri wa kirusi na shirika lao la ujasusi ndio maana anawang`onga wanausalama wa marekani
Hilo sahauHuyu DJT huenda ataongoza kwa taabu sana US