Vyombo vya Habari vyapuuza mkutano wa CCM.

Vyombo vya Habari vyapuuza mkutano wa CCM.

kwahiyo hapo magazeti hayajatumiwa,ila wakiandika wametumiwa.ndo mjue kuwa kuna verse na chorus sa isije inapofika chorus imeisha mko ktk verse msilalamike maana leo mwananchi limeonekana gazeti la maana kwakuwa halijandika habari za ccm,kesho litatukanwa hapa....
 
mara ngapi wanafanya hivyo? mbona issue ya lissu na job yalitokea ijumaa ila mpk leo yameandikwa?
 
Ukiandika za ccm utamuuzia nani?fanya utafiti wa nimagazeti yenye mlengo gani ambayo yana uza sana?nahata magazeti yao yanajitahidi kuweka vichwa vya habari vya kiCHADEMA,ili wauzie tu na ukifungua ndani ni stori nyingine kabisa.bw prince hujakosea hawa jamaa miaka miwili ijayo wataficha wapi sura zao,redio kama krauds na tbc sidhani kama zinasoko kwa sasa na mkewangu hilo analijua nilisha muonya na siku akisubutu kutwini tu meno ya seblen hana
 
Katika kile kinachoonekana kupuuza maneno ya hovyo dhidi ya Chadema yaliyotolewa na makada wa CCM jana huko Temeke mwisho,vyombo mbalimbali vya habari vimekataa kutoa uzito kwa mkutano huo.Magazeti mbalimbali leo yameripoti kwa uzito habari tofauti huku magazeti maarufu kama mwananchi yakiripoti Uzindizi wa Chadema Kanda ya Kaskazini.Mkutano wa jana wa CCM huko Temeke Mwisho ulitawaliwa na Kejeli,Propaganda chafu na Matusi dhidi ya Chadema hali inayoripotiwa imechangia kukosa hamasa kwenye vyombo vya habari.Magazeti pekee yaliyoripoti habari hizo ni yale yenye ushirika na CCM kama Mzalendo,Jambo Leo na Majira.
Hawakutoa mshiko wa kutosha kama kawaida yao....
 
sisi tunataka serikali ndio ilipe kipaumbele kudeal nalo na wala sio vyombo vya habari
 
CCM OYEEEEEEEEEEEEEEEEE....................2015 komba kishaandaa nyimbo za msiba wa chama...:majani7:
 
Watu wameelimika wanajua mbivu na mbichi
 
Itisha uchaguzi ndio utaijua CCM vizuri! Kumbukumbu ya mwisho kati ya kata 27 za udiwani udiwani uchaguzi mdogo CCM ilishinda kata 22 na nyingine vyama vidogo vikagawana! Itisheni uchaguzi ndio mtaiona CCM kama imekosa mvuto!
 
Ccm haifanyi siasa za magazeti, inakaa na wananchi na kuwasikiliza na kutatua kero zao

Mkuu umetoka lini mirembe - Dodoma? Mie nilidhani umeshapata walau nafuu wajameni, kumbe hali iko vile vile ; Pole sana usijali utapona ifikapo 2015.
 
Safi sana..Inapofika wakati mtu akaropoka matusi halafu ukampa front page kwenye gazeti lako ujue gazeti nalo linaunga mkono upuuzi....
 
Itisha uchaguzi ndio utaijua CCM vizuri! Kumbukumbu ya mwisho kati ya kata 27 za udiwani udiwani uchaguzi mdogo CCM ilishinda kata 22 na nyingine vyama vidogo vikagawana! Itisheni uchaguzi ndio mtaiona CCM kama imekosa mvuto!

Usihangaike kupiga mayowe; acha watu waone wenyewe. Nenda Muleba uone kamanda Mawazo alichowafanyia nyinyiem. Wahuni nyie hamna jipya mmepandikiza udini ili muedelee na ufisadi wenu, dhambi hiyo imewarudi mnaanza kutafuta mchawi ni nani, mmemaliza tembo wetu kwa ajili ya kutafuta pesa za kuhonga 2015, mnategemea mtaji wa polisi na uchakachuaji wa kura. Hamna mpya, subirini vipimo ifikapo 2015.
 
Katika kile kinachoonekana kupuuza maneno ya hovyo dhidi ya Chadema yaliyotolewa na makada wa CCM jana huko Temeke mwisho,vyombo mbalimbali vya habari vimekataa kutoa uzito kwa mkutano huo.

Magazeti mbalimbali leo yameripoti kwa uzito habari tofauti huku magazeti maarufu kama mwananchi yakiripoti Uzindizi wa Chadema Kanda ya Kaskazini.

Mkutano wa jana wa CCM huko Temeke Mwisho ulitawaliwa na Kejeli,Propaganda chafu na Matusi dhidi ya Chadema hali inayoripotiwa imechangia kukosa hamasa kwenye vyombo vya habari.

Magazeti pekee yaliyoripoti habari hizo ni yale yenye ushirika na CCM kama Mzalendo,Jambo Leo na Majira.

hawakupewa pesa fulstop!
 
There was no news values to attract the media audiences rather than political fiction and illogical arguments which can not change the life of Tanzanians.
 
mmmh huyu mkereketwa wa ccm ana roho ngumu kweli,,,pole utaifakwanza ccm imesahakufa imebaki na dola tu cku dola waking'amua utabaki wewe na Nape tu
 
Back
Top Bottom