jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 35,951
- 29,532
Naona vyombo vya habari Tanzania vikililia matangazo kutoka taasisi za serikali.
Serikali imepiga marufuku kwa matangazo ya taasisi zake kutolewa kabla hayajapita kwenye idara ya habari maelezo...hii ni hatua nzuri sana ambayo makanjanja wengi wa habari wameichukia.
Binafsi nimefurahishwa na hatua ya serikali kwani kulikuwa na matangazo ya ajabu ajabu ambayo pengine hadi leo yanaendelea.
Mimi ni mmoja wa wale wanaochukizwa na matangazo ya afya yanoyoishia na neno "KWA HISANI YA WATU WA ...(NJE YA NCHI)
Haya ni matangazo ya kidhalilishaji sana...mtu anachangia senti kiduchu halafu anapewa title la ajabu.
Ningefurahi kama Rais atayapiga marufuku matangazo ya namna hii...anayetoa msaada asiendekeze mbwembwe bali atoe msaada kwa huruma ya kweli.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!