Vyombo vya habari Vinaogopa au Vinalishwa

Kahtan Ahmed

JF-Expert Member
Aug 24, 2011
755
468
Najiuliza kwanini vyombo vya habari vya Tanzania vinashindwa kuripoti na kufichua uovu wa Serikali ya Tanzania

Kuna Matatizo mengi kama Umeme, Maji, Usalama wa Raia, Huduma mbovu ya Fya, Mfumo mbovu wa elimu, Ufisadi kwanini hawayasemi na kutakemea inamaana hayapo?

Ni dhahiri kua wanaogopa kueleza au wamelishwa wanyamaze

Ila mnachokitengeneza ni utumwa
 
Kwa sababu wanaogopa kufungiwa na serakali ya CCM.
 
Back
Top Bottom