Vyombo vya habari tanzania

jamii01

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
1,974
1,401
Najiuliza maswali mengi sana nakosa majibu,Vyombo vingi Tanzania sasa habari kuu sasa ni kikombe cha Babu huduma anayofanya na vigogo wanaokwenda wa serikali na matukio yanayotokea Loliondo..wameacha kuandika matatizo yanayoikabili nchi zaidi ya miaka 50 toka uhuru si mbaya kuzungumzia habari hizo lakini kuna mambo makubwa yanayoikabili nchi sasa uchumi mbovu sasa us$ 1=Ths 1,500 hakuna chombo cha habari kinachozungumzia hilo,umaskini,hari ngumu ya maisha,magonjwa,rushwa n.k vyombo vyote vya habari kimya..Je tutegemee muujiza wa mabadiriko ya nchi yakitokea wapi.Vyombo vya habari vyote macho yako loliondo huku wajanja na vigogo wa serikali wakiendelea kuibia nchi..hakuna anayeweza kuriport.
 
ni changamoto kubwa,wanaogopa kuonekana wachochezi siunajua nchi yetu?, huu uoga wetu ndio unaotuua.
 
Back
Top Bottom