Vyombo vya habari binafsi nchini hatarini kufa?

Vyombo vya habari binafsi nchini hatarini kufa?

Angekuwa na uwezo huo angeshaifunga siku nyingi sana
Huyu jamaa kadiri muda unavyokwenda ndio anajipambanua kwamba yeye ni mtu wa aina gani
Watu ambao walikuwa na imani nae kwamba kuna tumaini hapo baadae nao wameanza kukata tamaa
Kwa hiyo itafika mahali maamuzi yake tu ni sheria hakutakuwa na mda kwenda cort ili kushinda kesi
 
[HASHTAG]#atubu#[/HASHTAG]
 
Vife tu maana wametugeuka na kuwa sehemu ya watesi
 
Angekuwa na uwezo huo angeshaifunga siku nyingi sana
It's very true

Anatamani kuifunga JF lakini anashindwa

Refer kauli yake kuwa anatamani malaika washuke toka Mbinguni waje waifungie mitandao ya kijamii....
 
Ngosha anataka aifufue Radio Tanzania Dsm na kuyaamsha Magazeti ya Uhuru na Mzalendo kwa kukaza vyuma kwenye vituo/magazeti binafsi

Bahati nzuri tunayo JF yetu tutakuwa tunapatia habari hapa
Du enzi za chama kushika hatamu zinarudi, tukiimba Kambona ameolewa Ulaya kumbe wajanja walikwenda Ulaya na South Africa longi kunyoosha maisha ya watoto wao. Sisi tumebaki na Kiingereza chetu cha ujamaa tuna font fage
 
Very true Madame Sky Eclat

Enzi za zidumu Fikra za Mwenyekiti ndiyo hivyo zinapiga hodi, kama utakubakiana kumpamba Mkulu utadumu kwenye fani, na kama utagoma itakuwa umejichagulia Natural death!
 
Na bado! Nyakati za uchaguzi zikikaribia mna desturi ya kutuonyesha video za vita! Isitoshe huwa mnaambatana nao hadi wengine wamepata kazi pale! Mibahasha ya kaki iliwafanya mtuone walaji wa habari kama wenye kusoma chochote bila kutafakari na kutunza kumbukumbu!
Wacha awararue na kuwabomoa kwani ni wepesi kuliko sufi! Makonda alivyoharibu clouds baadhi mlipewa tubahasha mkanywea! Ikibidi msiwepo kabisa kwani mnajiona kuwa sio sehemu ya jamii!
 
Vife tu maana wametugeuka na kuwa sehemu ya watesi
Hahaaaa......😀😀

Yaani nawe unaombea vife?

Sababu tu wame-side upande wa watawala
 
Yaan sasa hivi ukisema ukweli ni kosa ndipo tulipofikia
 
Back
Top Bottom