chukulia lile tukio la boston-marekani kama sikosei,ni watu 3 waliuawa lakini msako wake ulivunja rekord ya dunia,sawa hatuwezi kufikia kama usa lakini jitihada zinaweza kufanyika kama wakati ule walivyouawa polisi watatu na mbwa 1 pale dar miaka ya nyuma kipindi cha mahita,jitihada zilionekana na walifanikiwa kuwakamata na kuwaua wahusika wote......
Swali katika hili tutaona jitihada kama za wakati ule na wakati alipouawa barlow,japo hizo jithada hatukuziona wakati wa mlipuko pale olasit-kanisani....
Yangu macho,naogopa kucha zangu,kwaherini