The hammer
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 2,409
- 1,812
da. Aiseee....aibu! Kule iraq bomu moja likilipuka na hata mtu mmoja tu akifa vyombo vyote vya habari vya kiamerika vinafanya habari kuu.
Jana arusha watu watatu wamekufa na rundo wamejeruhiwa. Hii ni international main story na haipo kokote kama habari kuu?
Aibuuu.......mungu wangu. Hii nchi kweli ni nchi ya vilaza.....
Mkuu wala usishangae sana, siku ya jana Tv na radio za bongo nyingi zilillipwa pesa ya kutosha na CCM ili kufanya coverage ya propaganda za CCM, na magazeti ya leo pia walishalipwa kufanya hilo.
Ninao ushahidi juu ya malipo hayo ya CCM.
hi TBC cjui inaumuhimu gan kwa waTZ mana chombo cha habari cha wananchi kam kinabakinyuma kutoa habari kama ya arusha kuna walakini,,,,yan Enzi za Tido pale TBC ilikuwa ful update,sas uyu wa sas sijui ananini?
Tido is very smart angalia alivyoenda Mwananchi jamaa wanazidi kupaa tu!
Yah,sa uyu wa sas amekuwa niaje?au ndo kina yahaya wa Jd
Tv zilizobaki TZ ni star tv,ch.10,itv na eatv zingine MAGUMASHI 2,yan hawaelewek
ITV nayo inafuata mkondo wa TBC tayari imeshakuwa magumashi nayo hatuna TV hapa.
Siasa mkuu... siasa mbaya sana. Unakuta uwezo wangu ni kuimba taarabu alaf napewa kitengo BoT na maisha yanaendelea km kawaida!