Vyombo muhimu vya jikoni je bongo vipo hivyo?

uvivu....ndio maana huko vinakotoka obesity imeshamiri watu ni mivitambi tu kwa kwenda mbele, zoezi wanalofanya ni kufungua na kufunga mlango gari. wanatakiwa kukumbushwa kuwa hata kumenya nanasi kwa kisu na kupuchukua mahindi kwa mkono ni zoezi pia....
 
Kwenye mchakato huu wa badget ya trilion 1.2 wizara ya ngereja naamini hata na sisi Bongo vyombo hivi tutavipata muda si mrefu.
 
Back
Top Bottom