Kilewa Son Member Joined Feb 8, 2013 Posts 56 Reaction score 7 Aug 1, 2014 #1 Daah, hakuna mtihani mgumu kama ndoa, na kuthibitisha jinci ulivyomgumu unaanza kukabidhiwa cheti cha kufudhu kabla ya mtihani, tofauti na mitihani mengine kama necta na nacte.. Take care wanandoa..
Daah, hakuna mtihani mgumu kama ndoa, na kuthibitisha jinci ulivyomgumu unaanza kukabidhiwa cheti cha kufudhu kabla ya mtihani, tofauti na mitihani mengine kama necta na nacte.. Take care wanandoa..
Tony Gwanco JF-Expert Member Joined Jan 22, 2013 Posts 5,913 Reaction score 1,219 Aug 1, 2014 #2 cc dk slaa
Kilewa Son Member Joined Feb 8, 2013 Posts 56 Reaction score 7 Aug 1, 2014 Thread starter #3 mm cmo, mm mwenyew mgeni..
KILAKA JF-Expert Member Joined Feb 15, 2014 Posts 374 Reaction score 128 Aug 1, 2014 #4 Tunapomtanguliza mwenyezi, tunaamini kila jambo mbele yetu tutashinda.