hahaha!Wana JF,
Kuna hii kitu nataka kushea na nyie.
Watu wote waliooa, waumini wa dini zote wanakutana na rabsha na matatizo mbalimbali katika maisha yao ya ndoa, na matatizo mengine hufikia hatua mbaya(irreparable) na kusababisha kuachana kwa wanandoa(Mungu pishia mbali).
Na ikumbukwe kwamba couples zote zinapofunga ndoa zinapata cheti cha aina moja cha kiserikali (kwa Tanzania).
Swali langu linakuja hivi, je ndoa inaposhindikana, na wanandoa wakaamua kuachana pasipo uwezekano wa kurudiana, kwanini kile cheti cha ndoa hakichanwi ili kuthibitisha kutengua ndoa husika?
Je haihofiwi kwamba kinaweza kutumika kinyume na ndoa iliyovunjika?...
hahaha!
swali zuri sana
majibu ni mengi pia
hatuchani vyeti:
-for our records
-hata tusipo chana bado ndoa inatambulika imevunjwa-(kuna talaka/devorce)
-kuna baadhi ya madhehebu ndoa huwa HAITENGULIWI-(serikali ililiangalia hilo pia)
-kuchana/kutochana haileti maana WALA HAIPINDISHI UKWELI
Mkuu unafikiria mbali sana weweSwali langu linakuja hivi, je ndoa inaposhindikana, na wanandoa wakaamua kuachana pasipo uwezekano wa kurudiana, kwanini kile cheti cha ndoa hakichanwi ili kuthibitisha kutengua ndoa husika?
Mkuu unafikiria mbali sana wewe
Au hata kukichoma moto au kukitia maji kikalowana
Ila swali la msingi je ndoa ni cheti cha ndoa au ni nini? Jibu tafadhali
Hata wanaume bana nao wanakuwa na kiburi fulanicheti ndio kinawaaapa vicha ma wife
Ndo si cheti cha ndoa, bali cheti cha ndoa ni SEAL ya ndoa!Mkuu unafikiria mbali sana wewe
Au hata kukichoma moto au kukitia maji kikalowana
Ila swali la msingi je ndoa ni cheti cha ndoa au ni nini? Jibu tafadhali
kwa mfano kama sitaki je na mwenzangu hataki je? kuna ulazima?Yaani mtaongea kila lugha ya kupendana wee, lakini mwisho wa siku lazima kuwe na something tangible(machoni pa wanadamu) kwaajili ya kuhitimisha maridhiano ya ndoa, nacho ni cheti!
kwa mfano kama sitaki je na mwenzangu hataki je? kuna ulazima?