Vyeti vya marehemu, nani huwa anarithi?

Vyeti vya marehemu, nani huwa anarithi?

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
37,156
Reaction score
55,653
Wakuu habari?

Huwa najiuliza maswali mengi, kwa nini mtu anapofariki, huwa tunakimbilia kurithi mali alizoacha marehemu, kama vile; majengo, viwanja, vyombo vya usafiri, fedha n.k

Lakini hatukimbilii kurithi vyeti alivyoacha marehemu, iwe ni masters, Phd, u-profesa n.k

Nataka nijue, vile vyeti vya taaluma ya marehemu nani huwa anarithi?​
 
Mimi nimerithi vyeti vya marehemu baba yangu, alikuwa dakitari vipi niajiriwa udokta utakubali nikutibie? nimeishia lapili B
 
ha ha ha, ngoja tusubiri majibu
 
waliokuwa wanapata 13 kwenye mitihani haya ndio maswali yao
Unavyoona ugumu wa kurithi vyeti, pia iwe hivyo hivyo na kwenye kurithi mali za marehemu.
 
Kinarithiwa kitu chenye "thamani". Vyeti vinapoteza thamani (value) pale ambapo mwenyewe anafariki.

NB: Nazungumzia kwenye genuine world.
 
Back
Top Bottom