ishengoma kamuhanda
Senior Member
- Oct 2, 2016
- 136
- 117
Habari Kuna vyeti ( f4,F6, chuo,kuzaliwa kadi za benk na cheti Cha kupigia kura) vimeokotwa tangu tarehe 04/04/2019 jina vya Carolina Andrew Shirima f4 amemaliza kisale sec 2002, f6 2005 Kibiti sec. Kwa mawasiliano 0652956397, sambaza taarifa hizi ktk magroup mengine.