Vyeti UDSM hutoka baada ya muda gani baada ya mahafali?

Vyeti UDSM hutoka baada ya muda gani baada ya mahafali?

Vyeti baada ya graduation ukishaclear clearance unakipata... Mfano mie nilifanya graduation November. 2015 January 2016 nikabeba mzigo wangu... Transcript na cheti vinatolewa hapo hapo ukitaka

Nyie wa Amazon college ni sawa ata mkipewa kabla pepa hazijasaishwa
 
watu tushaomba tunaenda kuchukua mzigo kesho transcript & cheti. kama umemaliza mwaka huu changamka mzigo ushafika TZ from UK (cheti)
 
Back
Top Bottom