erickishengoma
Member
- Mar 25, 2022
- 28
- 34
Habari ya muda huu wakuu.
Samahani mimi nina vyeti kadhaa ikiwemo cha la7, form4, form6, JKT, Cha bachelor pamoja na full result transcript yake, kwa sasa sina pesa ya kutosha kuverfy vyote kwa pamoja, hivi kwa hapo ni vyeti gani muhimu hasa kuverify kwa ajili ya kuombea kazi ajirapotal, au hadi vile kama cha JKT ni muhimu..?
Sambamba na hilo naomba connection ya mwanasheria yeyote anyeweza kunifanyia kwa elf 5, nipo Dar Mabibo.
Shukrani sana mkuuDogo acha uzembe... Hyo hyo elf 5... Una verify vyote.. Nenda mahakamani utasaidiwa fasta
Cheti kimoja ni 20,000/-Dogo acha uzembe... Hyo hyo elf 5... Una verify vyote.. Nenda mahakamani utasaidiwa fasta
Hakuna Wakili ata- Certify vyeti kwa 5000/- nakala moja Ni 20,000Habari ya muda huu wakuu.
Samahani mimi nina vyeti kadhaa ikiwemo cha la7, form4, form6, JKT, Cha bachelor pamoja na full result transcript yake, kwa sasa sina pesa ya kutosha kuverfy vyote kwa pamoja, hivi kwa hapo ni vyeti gani muhimu hasa kuverify kwa ajili ya kuombea kazi ajirapotal, au hadi vile kama cha JKT ni muhimu..?
Sambamba na hilo naomba connection ya mwanasheria yeyote anyeweza kunifanyia kwa elf 5, nipo Dar Mabibo.
Cheti kimoja ni 20,000/-
Wapi?!Cheti kimoja ni 20,000/-
Ndiyo nashangaa hapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].... Kama hujui ku verify ni kupiga tu muhuri.... Sasa kupiga muguri kiwe cheti kimoja elf 20...
Kwa WakiliWapi?!
Hakuna Wakili ata- Certify vyeti kwa 5000/- nakala moja Ni 20,000
Aisee kama ni kweli hiyo bei ni ghali sanaKwa Wakili
Acha kushangaa chukua vyeti vyako nenda kisutu.. Utakuwa kuna watu pale ndio mishe zao... Watakwambia ela flan... Waambie wewe una elf 5.. Utasaidiwa fastaNdiyo nashangaa hapa
-kwwnza haiitwi kuverify, Ni ku- Certify, ndiyo maana ule muhuri umeandikwa 'certified true copy of the original'[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].... Kama hujui ku verify ni kupiga tu muhuri.... Sasa kupiga muguri kiwe cheti kimoja elf 20...
5000 halafu unapewa risiti?Acha kushangaa chukua vyeti vyako nenda kisutu.. Utakuwa kuna watu pale ndio mishe zao... Watakwambia ela flan... Waambie wewe una elf 5.. Utasaidiwa fasta
5000 halafu unapewa risiti?
Utaratibu ndio huo Ni 20,000/- kwa copy 1, na pia mahakama wanatakiwa wafanye 20,000 kwa copy moja.Aisee kama ni kweli hiyo bei ni ghali sana
Kumbe wewe ni wakili usiye na ajira ndio maana unapigia chapuo bei ghaliUtaratibu ndio huo Ni 20,000/- kwa copy 1, na pia mahakama wanatakiwa wafanye 20,000 kwa copy moja.