Naomba wajumbe tujadili
Kuna walosoma na kupata veti lakini elimu walokua nayo ni feki kwa maana hawana wajualo. ni watendaji wabovu.
kuna walosoma na veti feki lakini ni wajuzi na watendaji wazuri. hapo vipi.
Kuna walosoma kwa mpango ukiitwa mature age entry katika miaka ya 70 na 80 na hii ili wahusu wengi walo kua wamemaliza darasa la 8 ( sijui kama mpango huu bado upo kwa sasa) hawa wote hawana form wala form six.
Pia yule alofeli form 4 na kajisomesha mwenyewe kuna vyuo hawaangalii form 4 au form 6 bali una fanya entrance exam na ukipass wana kuchukua kuanza programm ikiwa diploma au university na hili vipi.?
Wafanya kazi 10000 ni wengi kwa nini hili lisifanywe kwa awamu au kidogokidogo.
hata kama utajiri watu wengine itachukua miezi zaidi ya sita kupata uzoefu wa kazi.
Mie ni ndugu yangu wakike kasoma form 4 halafu form6 halafu Uneiversity of day esalaam halafu master UK halafu PHD Norway.
Vyti vyake vya form form 4 au 6 hajui kaviweka wapi sasa anambiwa feki.
kwani hwaendi kuchek huko alipo pata hivyo vengine kama kweli au la.
Nchi za wenzetu kuna ofisi maalum ambayo unalipa pesa kuhakiki vyeti vya juu ili kuthibitisha kuwa ni wewe na ni kweli ulisoma huko.
Na hapo tungefanya kama hivyo.
Nawasilisha