Vyeti feki; serikali imekurupuka bila ya utafiti

Naomba wajumbe tujadili
Kuna walosoma na kupata veti lakini elimu walokua nayo ni feki kwa maana hawana wajualo. ni watendaji wabovu.
kuna walosoma na veti feki lakini ni wajuzi na watendaji wazuri. hapo vipi.

Kuna walosoma kwa mpango ukiitwa mature age entry katika miaka ya 70 na 80 na hii ili wahusu wengi walo kua wamemaliza darasa la 8 ( sijui kama mpango huu bado upo kwa sasa) hawa wote hawana form wala form six.
Pia yule alofeli form 4 na kajisomesha mwenyewe kuna vyuo hawaangalii form 4 au form 6 bali una fanya entrance exam na ukipass wana kuchukua kuanza programm ikiwa diploma au university na hili vipi.?
Wafanya kazi 10000 ni wengi kwa nini hili lisifanywe kwa awamu au kidogokidogo.

hata kama utajiri watu wengine itachukua miezi zaidi ya sita kupata uzoefu wa kazi.

Mie ni ndugu yangu wakike kasoma form 4 halafu form6 halafu Uneiversity of day esalaam halafu master UK halafu PHD Norway.
Vyti vyake vya form form 4 au 6 hajui kaviweka wapi sasa anambiwa feki.
kwani hwaendi kuchek huko alipo pata hivyo vengine kama kweli au la.

Nchi za wenzetu kuna ofisi maalum ambayo unalipa pesa kuhakiki vyeti vya juu ili kuthibitisha kuwa ni wewe na ni kweli ulisoma huko.

Na hapo tungefanya kama hivyo.

Nawasilisha
Mimi nimesoma Uingereza na nafanya kazi Marekani.

Kazini walipohakiki cheti changu walitumia mawasiliano yao wenyewe moja kwa moja na chuo changu. Muajiri mwingine aliwahi kutumia service maalum ya kazi hii.

Yani hizi habari z amtu kupeleka cheti chako mwenyewe ni mwanya wa kufoji, kwa nini unampa mtu kazi hiyo wakati una contacts zote za chuo alichosoma?
 
Laana ya haya mambo tutaiona ikimuangukia mtu soon
 
we ni ng'ombe
 
hv ni chuo gan ambacho hawaangalii matokeo ya o level na A level???
sio lazma kila kitu tuwe tunaidiss serikal
kama mtu ameonewa amepewa nafasi ya kuappeal mnataka nn kingne
vyeti feki vimetutesa sana wacha wanyooshwee
 
Mimi naona kwenye hili zoezi la vyeti feki serikali ingetumia busara zaidi kuliko sheria.
 
Naomba wajumbe tujadili
Kuna walosoma na kupata veti lakini elimu walokua nayo ni feki kwa maana hawana wajualo. ni watendaji wabovu.
kuna walosoma na veti feki lakini ni wajuzi na watendaji wazuri. hapo vipi.

Kuna walosoma kwa mpango ukiitwa mature age entry katika miaka ya 70 na 80 na hii ili wahusu wengi walo kua wamemaliza darasa la 8 ( sijui kama mpango huu bado upo kwa sasa) hawa wote hawana form wala form six.
Pia yule alofeli form 4 na kajisomesha mwenyewe kuna vyuo hawaangalii form 4 au form 6 bali una fanya entrance exam na ukipass wana kuchukua kuanza programm ikiwa diploma au university na hili vipi.?
Wafanya kazi 10000 ni wengi kwa nini hili lisifanywe kwa awamu au kidogokidogo.

hata kama utajiri watu wengine itachukua miezi zaidi ya sita kupata uzoefu wa kazi.

Mie ni ndugu yangu wakike kasoma form 4 halafu form6 halafu Uneiversity of day esalaam halafu master UK halafu PHD Norway.
Vyti vyake vya form form 4 au 6 hajui kaviweka wapi sasa anambiwa feki.
kwani hwaendi kuchek huko alipo pata hivyo vengine kama kweli au la.

Nchi za wenzetu kuna ofisi maalum ambayo unalipa pesa kuhakiki vyeti vya juu ili kuthibitisha kuwa ni wewe na ni kweli ulisoma huko.

Na hapo tungefanya kama hivyo.

Nawasilisha
Acha kutudanganya bwana kwa mfano wa Dada yako kuwa kaambiwa ni fake kwa kukosa cheti cha kidato cha 4 na 6 wakati vingine anavyo.

Huyo yupo kwa wale ambao wana miss baadhi ya vyeti na wameaambiwa wahakikishe wanawakilisha hizo missing documents.

Kuna watumishi hawana cheti hata kimoja original waliibiwa na Polisi lost report hao walipewa utaratibu ktk uhakiki kujua kweli waliibiwa ni kweli copy zilizopo ktk mafaili yao ni kutoka ktk vyeti halali hilo limefanyika.

Najua issue kila mmoja anaongea kwa hisia kwasababu imegusa Maslahi ya watumishi lakini watumishi kiukweli wamegushi vyeti,wamenunua vyeti,wametumia vyetu ambavyo siyo vya kwao na kama kuna alionewa basi milango iko wazi aende akajisafishe maana makosa ya kibinadamu yanaweza kuwa hapo pia.
 
Naomba wajumbe tujadili
Kuna walosoma na kupata veti lakini elimu walokua nayo ni feki kwa maana hawana wajualo. ni watendaji wabovu.
kuna walosoma na veti feki lakini ni wajuzi na watendaji wazuri. hapo vipi.

Kuna walosoma kwa mpango ukiitwa mature age entry katika miaka ya 70 na 80 na hii ili wahusu wengi walo kua wamemaliza darasa la 8 ( sijui kama mpango huu bado upo kwa sasa) hawa wote hawana form wala form six.
Pia yule alofeli form 4 na kajisomesha mwenyewe kuna vyuo hawaangalii form 4 au form 6 bali una fanya entrance exam na ukipass wana kuchukua kuanza programm ikiwa diploma au university na hili vipi.?
Wafanya kazi 10000 ni wengi kwa nini hili lisifanywe kwa awamu au kidogokidogo.

hata kama utajiri watu wengine itachukua miezi zaidi ya sita kupata uzoefu wa kazi.

Mie ni ndugu yangu wakike kasoma form 4 halafu form6 halafu Uneiversity of day esalaam halafu master UK halafu PHD Norway.
Vyti vyake vya form form 4 au 6 hajui kaviweka wapi sasa anambiwa feki.
kwani hwaendi kuchek huko alipo pata hivyo vengine kama kweli au la.

Nchi za wenzetu kuna ofisi maalum ambayo unalipa pesa kuhakiki vyeti vya juu ili kuthibitisha kuwa ni wewe na ni kweli ulisoma huko.

Na hapo tungefanya kama hivyo.

Nawasilisha
Wweeeee weeeeee wacha urongo wa mchanamchana alaaaaaaaaah!! peleka kule hiyo urongo yako
 
Mimi nimesoma Uingereza na nafanya kazi Marekani.

Kazini walipohakiki cheti changu walitumia mawasiliano yao wenyewe moja kwa moja na chuo changu. Muajiri mwingine aliwahi kutumia service maalum ya kazi hii.

Yani hizi habari z amtu kupeleka cheti chako mwenyewe ni mwanya wa kufoji, kwa nini unampa mtu kazi hiyo wakati una contacts zote za chuo alichosoma?
Mkuu hujajua hili zoezi linavoendeshwa, laiti ungejua usingesema hayo. Nataka kukufahamisha kuwa uhakiki hauangalii hard copy ya cheti peke yake bali kinakuwa compared na cha kwenye data base ya NECTA au chuo ulichosoma. Forgery yoyote itagundulika tu.
 
Naomba wajumbe tujadili
Kuna walosoma na kupata veti lakini elimu walokua nayo ni feki kwa maana hawana wajualo. ni watendaji wabovu.
kuna walosoma na veti feki lakini ni wajuzi na watendaji wazuri. hapo vipi.

Kuna walosoma kwa mpango ukiitwa mature age entry katika miaka ya 70 na 80 na hii ili wahusu wengi walo kua wamemaliza darasa la 8 ( sijui kama mpango huu bado upo kwa sasa) hawa wote hawana form wala form six.
Pia yule alofeli form 4 na kajisomesha mwenyewe kuna vyuo hawaangalii form 4 au form 6 bali una fanya entrance exam na ukipass wana kuchukua kuanza programm ikiwa diploma au university na hili vipi.?
Wafanya kazi 10000 ni wengi kwa nini hili lisifanywe kwa awamu au kidogokidogo.

hata kama utajiri watu wengine itachukua miezi zaidi ya sita kupata uzoefu wa kazi.

Mie ni ndugu yangu wakike kasoma form 4 halafu form6 halafu Uneiversity of day esalaam halafu master UK halafu PHD Norway.
Vyti vyake vya form form 4 au 6 hajui kaviweka wapi sasa anambiwa feki.
kwani hwaendi kuchek huko alipo pata hivyo vengine kama kweli au la.

Nchi za wenzetu kuna ofisi maalum ambayo unalipa pesa kuhakiki vyeti vya juu ili kuthibitisha kuwa ni wewe na ni kweli ulisoma huko.

Na hapo tungefanya kama hivyo.

Nawasilisha
Wewe acha uzuzu, ata kama unaweza kuperform namna gani lakini kama hukusoma elimu inayopaswa wewe huna sifa, kwa wale waliosoma lakini hawawajibiki taratibu za kiutumishi zipo wazi tu kwa watu wa namna hiyo
Kupoteza vyeti pia taratibu za NECTA zipo wazi tu, afterall sijui kama alikuwa ata lost report.
 
Mkuu hujajua hili zoezi linavoendeshwa, laiti ungejua usingesema hayo. Nataka kukufahamisha kuwa uhakiki hauangalii hard copy ya cheti peke yake bali kinakuwa compared na cha kwenye data base ya NECTA au chuo ulichosoma. Forgery yoyote itagundulika tu.
Hujanifuatilia.

Mtu ambaye kasoma kweli, cheti chake kimetumiwa na mwingine bila yeye kujua, na yeye jina lake limechapishwa kwamba kafoji cheti.

Hapo kuna haki?
 
Mie ni ndugu yangu wakike kasoma form 4 halafu form6 halafu Uneiversity of day esalaam halafu master UK halafu PHD Norway.
Vyti vyake vya form form 4 au 6 hajui kaviweka wapi sasa anambiwa feki.
Wengi mnaotetea vyeti feki hamjui hata zoezi limeendaje.
Ukipoteza cheti si unaomba kingine NEC kwa utaratibu uliowekwa?
Au huyo ndugu yako kasahau pia mwaka na shule aliosomea?
 
Atakuwa alipeleka cheti feki basi.... Imekula kwake..
 
Hujanifuatilia.

Mtu ambaye kasoma kweli, cheti chake kimetumiwa na mwingine bila yeye kujua, na yeye jina lake limechapishwa kwamba kafoji cheti.

Hapo kuna haki?
Hawa hawajachapishwa mitandaoni mkuu, bali wapo katika orodha ya watu 3500 wanaotumia vyeti halali 1500. That means cheti kimoja ambacho ni halali kinatumiwa na mtu zaidi ya mmoja. Hili nadhani bado linashughulikiwa. Labda niwe sijakuelewa mkuu.
 
Wenye vyeti fake wamedumaza maendeleo ya nchi hii. Tatizo kwa upande wa serikali imekwenda speed kali kwenye uhakiki. Rufaa zitaleta nakala fake. Hitimisho la uhakiki tume ndio ingekwenda necta. Zoezi la kuwaondoa lingefuatiwa mara moja na kuajiri, na si hii ya kutaka idara ziombe vibali vya kuajiri, huku baadhi ya vituo vya kazi kufungwa.
 
Back
Top Bottom