hiyo ni kweli, mimi mwenyewe nilishangaa kumuona mtu kakomea form tu ameanza kusomea uuguzi nilipouliza nikaambiwa amegushi vyeti. Na hivi karibuni atamalizia masomo yake akaajiliwe.
kuna watu mtaani wanasugua benchi na walipata elimu na matokeo ya halali afu ajira zimekaliwa na wahuni tu.
wakwanguliwe tu.
maana imefika kipindi watu wanaona kusoma ni kupoteza muda na mali kwa kuwa ajira ni tatizo kumbe kuna watu wanakaa tu stationary na kutengeneza vyeti na kesho wanakuwa wafanyakazi.
wawafagie wote.
hakuna cha kujutia kwa kuwa hata wao wanajua hawastahili kuwepo hapo ila ni ujanja ujanja tu.

Idara ya afya inaweza kuongoza nchi nzima kwa wafanyakazi wenye vyeti vya kukugushi! Kuna mtu moja nilimsikia akilalamika kua kuna Muuguzi mmoja pale Muhimbili ana degree ya nursing lakini amereseat mtihani wa form four mwaka huu! Jiulize chuo kikuu aliendaje mpaka akamaliza.
Hakiangaliwi cheti unaangaliwa uwezo wa kufanya kazi.mnavyeti tu then wavivu
Tatizo liko wapi? mnataka kuwapeleka wapi na ujuzi wao?.Hebu tufahamiane vizuri sifa zetu za elimu,umetoka wapi na upo wapi,kwani huko hamkaguliwi vyeti?
mnataka wenzenu walale njaa??
Idara ya afya inaweza kuongoza nchi nzima kwa wafanyakazi wenye vyeti vya kukugushi! Kuna mtu moja nilimsikia akilalamika kua kuna Muuguzi mmoja pale Muhimbili ana degree ya nursing lakini amereseat mtihani wa form four mwaka huu! Jiulize chuo kikuu aliendaje mpaka akamaliza.
Nyie wenye vyeti halali mmelifanyia nini taifa?
Kuna mtu ni mtumushi mmoja ktk idara afya tena mama mtu mzima anasoma QT aende chuo cha uuguzi. Sasa anauguza nini kama hata sekondari hajasoma?