Vyanzo vya umeme

Vyanzo vya umeme

GHIBUU

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2011
Posts
4,432
Reaction score
3,016
Hivi ni vinu vya kufua umeme, vinapatikana nchi zilizo endelea, nazani kwa wale wenye kuishi katika vyanzo vya maji yenye mtetemko, uwezo wa kupata umeme upo. Usisubiri Tanesco ikuletee umeme , uwezo unao tafuta wataalamu kutengezee umeme wa uhakika.
 
Attachments

  • 1444817936255.jpg
    1444817936255.jpg
    14.9 KB · Views: 107
  • 1444817948240.jpg
    1444817948240.jpg
    8.7 KB · Views: 125
  • 1444817960927.jpg
    1444817960927.jpg
    10.1 KB · Views: 100
Ni wazo zuri ndugu lkn unafikiri kila mmoja akiweka mtambo kwenye vyanzo hivyo vya maji nadhani havitatisha na itakua vurugu

Pia nafikiri vyanzo vyenyewe viko chini ya mamlaka inayodhibiti matumizi ya maji sijui umelionaje hili
 
Nafikiri haina tatizo, vyanzo maji ambavyo utakavyo tumia ni vidogo vidogo, kwa mfano miteremko ya mito, vyovyote iwevyo nchi yetu sote hata hao mamlaka za maji sizani kama watakunyima fursa hio kama kukupa kibali.
Kutokana na tatizo la umeme kuwa la historia yaani mpaka tutajukuu na kutukuu mgao wa umeme kuendelea, nataka nitafute eneo la kuishi ambalo naweza kupata vyanzo vya umeme 😀😀
 
Back
Top Bottom