Vyanzo vya ndoa mbalimbali

yashanikuta haya ndugu na ndoa sijaonja

unaniangusha banah... kweli ulishndwa kuanzisha timbwili mpaka kieleweke!!! unaweka kambi kwake, anaondoka anarud bado anakukuta ndani tena ndo huna habaree kabisaaaa
 
- Ndoa za huruma... Mmedumu. kwenye uchumba sugu over 3yrs. Then unamuonea huruma unamuoa tu no option...

- Umetoswa na umependaye unaokota tu yeyote aliyeko...

- Umri umeenda unachukua mwanamke yeyote aliyeko available...
 
weeee acha tyu yan any way naganga yajayo
 
- Ndoa za huruma... Mmedumu. kwenye uchumba sugu over 3yrs. Then unamuonea huruma unamuoa tu no option...

- Umetoswa na umependaye unaokota tu yeyote aliyeko...

- Umri umeenda unachukua mwanamke yeyote aliyeko available...

ndoa za huruma hizi sizitaki sasa kama ni mama hurumu utajigawaje
 
- Ndoa za huruma... Mmedumu. kwenye uchumba sugu over 3yrs. Then unamuonea huruma unamuoa tu no option...

- Umetoswa na umependaye unaokota tu yeyote aliyeko...

- Umri umeenda unachukua mwanamke yeyote aliyeko available...

Hii ya "no option" ndo balaa! Unaoa au kuolewa hakuna smile usoni siku ya harusi
 
zote ziko okay...pia tuoane coz tumetoka mbaali tangia primary mpk chuo....
 
6. kufumaniwa waki DO na kufungiswa ndoa fasta.
7. kaka/mdogo wa marehemu kumrithi mjane na watoto.
 
unakamata kwa nguvu, unafungia ndani kesho unatuma watu kupeleka taarifa kwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…