Mkuu usihangaike kufanya utafiti mwingine, wazee walishafanya utafiti miaka miiingi iliyopita na wakaja na solution hiyo ya kukeketa tu basi. Fanya utafiti uone kiwango cha uzinzi na ndoa nyingi kuvunjika kati ya makabila yanayokeketa wanawake wao na yale yasiyokeketa wanawake wao, utaona ni kwa nini babu zetu walisisitiza ukeketaji kabla ya mtu kuolewa. Mfano, kakabila yasiyokeketa wanawake wao Tanzania ni makabila ya Pwani kama Wazigua, Wazaramo, Wakwere, Wamakonde, Wamatumbi, Wayao, Wapogoro, Warungulu, warangi, na makabila yanayokeketa ni pamoja na Wameru, Wachagga (kidogo kwa siku hizi), Wamasai, Wagogo, Wambulu, Wakurya, wanyaturu. Wewe unadhani uzinzi na ndoa zinavunjika zaidi kwenye kundi lipi hapo?