Vyandarua vya Bush...!!!

Magpie

Member
Aug 26, 2009
70
7
ivi jamani wana JF vile vyandarua vya Bush vimefikia wapi ? ni watu wangapi so far wamefaidika navyo ?(wamegaiwa).
ni idara gani ya serilkali inahusika na swala zima lu ugawaji na usimamizi wake kwa ujumla?
 
Back
Top Bottom