JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 3,177
- 7,472
Tarehe 12, April, 2025 Ofisi ya Msajili inataka vyama vyote vyenye nia ya kushiriki Uchaguzi Mkuu mwaka huu kwenda kusaini Kanuni za Maadili ya Uchaguzi, na kutosaini kanuni hizo kwa mujibu wa Kifungu cha 162 cha Sheria ya Uchaguzi za 2024 ni kosa la kuondolewa moja kwa moja kwa chama kushiriki.
Je, CHADEMA watasaini au la?
Je, CHADEMA watasaini au la?