Vyama vya siasa vya mfukoni kufutwa - Tendwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vyama vya siasa vya mfukoni kufutwa - Tendwa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by thatha, Jun 24, 2012.

 1. t

  thatha JF-Expert Member

  #1
  Jun 24, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  msajili wa vyama vya siasa nchini John Tendwa amesema vyama vya siasa ambavyo havikui na havina uwakilishi wa udiwani wala ubunge havitashiriki uchaguzi mkuu ujao na vitabadilishiwa usajili na kuwa NGO'S.

  Alisema kuwa lengo ni kuondoa ubabaishaji hususan wagombea ambao hujitoa kwenye uchaguzi siku chache kabla ya uchaguzi.

  My take; Hamad Rashid na ADC itakuwaje???
   
 2. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #2
  Jun 24, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,897
  Likes Received: 5,360
  Trophy Points: 280
  aanze na bakwata halafu uamsho
   
Loading...