Vyama visivyo na wabunge, Magufuli umevifuta?

Vyama visivyo na wabunge, Magufuli umevifuta?

Hivi hiyo dhana ya kuwa maandamano ni fujo imeanzia wapi? Mbona yapo maandamano ya aina nyingi na hayana fujo? Siku zote fujo zinatokea kutokana na Polisi kuingilia kati bila sababu yeyote
Hivi hiyo dhana ya kuwa maandamano ni fujo imeanzia wapi? Mbona yapo maandamano ya aina nyingi na hayana fujo? Siku zote fujo zinatokea kutokana na Polisi kuingilia kati bila sababu yeyote

Wala hatuhitaji kubishana. Tunasubiri September 1 tuanze kumuona Clinton Mbowe, Fred Lowassa, japhet Sumaye, wakifuatiwa na Lilian Mbowe, Regina Lowass Esther Sumaye na wazee wao.
 
Maandamo ni mojawapo ya mbinu ya mnyonge kupaza sauti kwa watala waliojaa kiburi na jeuri waliopoka haki,usawa na ustawi wa demkrasia. Kama kusingekuwa na zuio la mikutano ya kisiasa usingeona wala kusikia swala la maandamano.

Hayo mengine ni porojo na propaganda chafu tu.

Kwa hiyo katika maandamano yenu ya September 1, watu hawa watakuwepo:

Clinton Mbowe, Fred Lowassa, Pamela Lowassa, Japhet Sumaye, Lilian Mbowe, Regina Lowassa, Esther Sumaye, Edwin Mtei, Salary Slip, Ben Saanane, Philemon Ndesamburo, Vincent Mashinji, etc?

Wakitangulia hao na mimi nakuapia nitashiriki!
 
Huo ni umbea na hayanihusu. Tukujulishe tu ni kwamba tunasimamia imani na misingi yetu. Kuhusu hao uliowataja kuwa wataandamana sio ajenda yetu kwa sasa.
 
Huo ni umbea na hayanihusu. Tukujulishe tu ni kwamba tunasimamia imani na misingi yetu. Kuhusu hao uliowataja kuwa wataandamana sio ajenda yetu kwa sasa.

Hao ndio wenye saccos hiyo kwa taarifa yako. Wewe ni kapuku tu huna msingi unaosimamia. Kapuku kama wewe unatumiwa tu and ukivunjwa mbavu kwenye maandamano wala hakuna atakayekuja kukujulia hali.
 
Rais anakanyaga katiba halafu sisi wananchi tunamuangalia na genge lake la watu wachache kama akina sendeka wanao palilia matumbo yao
 
Rais anakanyaga katiba halafu sisi wananchi tunamuangalia na genge lake la watu wachache kama akina sendeka wanao palilia matumbo yao
Moja ya sababu ya kumuondoa sultani Kule Zenji ilikuwa kufanya atakalo na hakuna wa kupinga. Tabia hiyo iliota mizizi mpaka akipita mtaani na kuona mwanamke mzuri hatajali hata kama ni mke wa mtu ni lazima apelekwe kwake alale nae.
Tabia ya kutokuhojiwa ikizoeleka mtu anafika mbali na ndio maafa yanakuja baadae
 
"Kila mtu afanye mkutano wa siasa sehemu aliyochaguliwa" by JPM
Bwana mkubwa ana kauli tata kweli! Ina maana vile vyama ambavyo havina wabunge nchini ndio anavifuta? Kwa sheria gani? Au sehemu iliyochaguliwa ccm vyama vingine vitajijengaje bila mikutano ya kujitangaza?
Anachotaka kutuambia mahali kama Arusha mjini CCM wafunge kabisa ofisi zao maana hawakuchaguliwa na hawawezi kufanya mikutano kwa amri ya mkuu?
Nadhani ni wakati wa kuwajua kwa uwazi kabisa majina ya Washauri wa Siasa na Uchumi wa Rais maana yaweza kuwa wanampotosha ili aharibikiwe.
Yaweza kuwa anamshauri wa siasa mwana Ukawa hivyo anampoteza ili aharibikiwe na kudharauliwa kama sasa.
Pia inawezekana yeye ndiye anayewashauri washauri wake
 
TLP ipo kwenye parole.
Ha ha ha, nimeona na jana Mrema anazungumza na bodaboda mambo ya siasa na kumponda Lowasa kwa mgongo wa Parole. Sijui kama hiyo inaruhusiwa au laa, vinginevyo maana halisi ya Parole itapotea
 
Ha ha ha, nimeona na jana Mrema anazungumza na bodaboda mambo ya siasa na kumponda Lowasa kwa mgongo wa Parole. Sijui kama hiyo inaruhusiwa au laa, vinginevyo maana halisi ya Parole itapotea
Ndio kifungo cha TLP,UDP and the rest mkuu.
 
"Kila mtu afanye mkutano wa siasa sehemu aliyochaguliwa" by JPM
Bwana mkubwa ana kauli tata kweli! Ina maana vile vyama ambavyo havina wabunge nchini ndio anavifuta? Kwa sheria gani? Au sehemu iliyochaguliwa ccm vyama vingine vitajijengaje bila mikutano ya kujitangaza?
Anachotaka kutuambia mahali kama Arusha mjini CCM wafunge kabisa ofisi zao maana hawakuchaguliwa na hawawezi kufanya mikutano kwa amri ya mkuu?
Nadhani ni wakati wa kuwajua kwa uwazi kabisa majina ya Washauri wa Siasa na Uchumi wa Rais maana yaweza kuwa wanampotosha ili aharibikiwe.
Yaweza kuwa anamshauri wa siasa mwana Ukawa hivyo anampoteza ili aharibikiwe na kudharauliwa kama sasa.
Ndio maana TLP na UDP wenyeviti wao hawasiti kupokea mialiko na kuomba kuzungumza.
 
Ha ha ha, nimeona na jana Mrema anazungumza na bodaboda mambo ya siasa na kumponda Lowasa kwa mgongo wa Parole. Sijui kama hiyo inaruhusiwa au laa, vinginevyo maana halisi ya Parole itapotea
Kwa kweli inashangaza mno, hapa lazima iwekwe wazi shughuli za hiyo taasisi ni nini? Vinginevo ni kuleta sintofahamu kwa vyama vingine kwani mzee Cheyo hana pa kusemea kwa sasa!
 
Hii movie imefika episod tamu sana. Kwa jinsi ninavyoona yaweza kuwa starling wa kihindi anaweza kufia kwenye maua na movie yetu ikaishia kwenye dilema.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu utamaliza mbavu zangu
 
Tena kigoma mjini tu. Huko kwingineko ni marufuku. Sijui kama zipo kwa tamko hilo. Kwa namna ya uropokaji wake huyu bwana anastahili kuwa kwenye level ya uwaziri mkuu. Uraisi ni busara na hekima na sio mabavu.
CCM marufuku kufanya siasa Mbeya, Iringa, Kibamba, Kinondoni, Ubungo, Temeke, Rombo, Ukonga, Vunjo, Hai, Tunduma, Kilwa, Kilombero, Mlimba , Kawe..............kwa kweli ni kituko kila kukicha hii picha ni tamu kuiangalia
 
CCM inashika mitaa zaidi ya sabini huko Arusha ...

CCM imefanya chaguzi zake za ndani bila maandamano
.

Zitto badala ya kwenda kuhamasisha kigoma kila kukicha yuko facebook.

Mbowe anasubiri 2020 aende HAI kupeleka ambulance second hand ya kuwazugia wananchi.

Lissu yuko busy kumtukana Rais wakati jimboni kwake watoto wanakaa chini.

Mnyika anapeleka kesi yakuomba kuonekana live wakati Kibamba hamna maji.
Kwa mujibu wa UZI tunao changia, nadhani hapo kwenye bold ndipo ulipojibu au kuchangia sawa sawa na UZI wenyewe, hayo mengine kama sio majungu basi ungefungua tu UZI mwingine ili tuchangie huko na si kupitia UZI hu.
 
Back
Top Bottom