BAGAH
JF-Expert Member
- Jan 17, 2012
- 4,523
- 1,060
Ahhahahaha kweli kabisa...inategemea!...kama unajimudu haina haja!..hii ni kwa wachovu wenzangu!
Mhhh huo udokta umeupata lini au ni ndugu yake na maji marefu
shemeji una maswali makali...Jg yuko around namheshim...nitakujibu akitoka hapa!..
...japo nahisi waliokaa kimya ni wengi wenye matatizo haya kuliko wale wanaosema!.