Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,020
- 168,016
Hello members!
Naomba kufahamishwa vyakula hasa vya asili vinavoleta hamu ya kula.
Vitamin B- complex hizi dawa kwakweli zina harufu kali sana nikimeza ile harufu binafsi huwa inabaki kooni kiukweli mahondaw ni muoga sana wa kumeza dawa seriously yani naukubwa wote huu nikiumwa wakati wa kumeza dawa ni patashika japo nakuwa naumwa ikifika wakati wa kumeza dawa naumwa zaidi na hunichukua Muda sana kuja kukamilisha zoezi la umezaji dawa hasa kukiwa na dawa zaidi ya moja na b complex ikiwepo uwiiiiiiiiiiii.
Muda mwingine nikimeza kufika kooni tu zinarudi natema either zote or baadhi na naweza tema dawa hata mara mbili kwahuo muda naokuwa nameza kwa mfano asubuhi tu hio zinarudi hata mara mbili hapo bado mchana Jioni nahivo kuharibu dozi.
Ndo naulizia vyakula vya asili vyenye kuleta Hamu ya kula make naumwa hamu ya kula imekata kabisaa yani naeza kushindia uji tu siku nzima sisikii njaa na dawa nizopewa nikali sana zinahitaji kula sana ikiwemo b complex ya kuleta Hamu ya kula ambayo naona kwa aslimia 95 inaniharibia dozi achilia mbali uoga wangu wa dawa.