Mnakula hadi punda waliokufa, sina hamu na nyieHabari zenu? muda huu nmejikuta nakumbuka chakula cha kijijini kwetu. mi ni mwenyeji wa Mkoa wa Singida na nikiendaga kwetu napikiwa ugali wa mtama mweupe, "nsans'a" hii ni majani ya kunde yaliyokaushwa kwenye jua na baadae yanapikwa na bila kusahau nyama, kwetu tunapenda nyama balaa. Ningependa kujua mikoa mingine na vyakula vyao vya asili.
Yani tupo kwenye vyakula we umeshahamia kwenye ngono. sa kati ya mimi wa singida na wewe nani anapenda ngono zaidiKwaiyo we wa singida.. Nakumbuka kuna mnyaturu alikuwa anatuambia singida hamna demu anakataa mwanaume... Mademu wa uko wana nyege nyingi mwilini kuliko maji
Habari yakho muncha.Habari zenu? muda huu nmejikuta nakumbuka chakula cha kijijini kwetu. mi ni mwenyeji wa Mkoa wa Singida na nikiendaga kwetu napikiwa ugali wa mtama mweupe, "nsans'a" hii ni majani ya kunde yaliyokaushwa kwenye jua na baadae yanapikwa na bila kusahau nyama, kwetu tunapenda nyama balaa. Ningependa kujua mikoa mingine na vyakula vyao vya asili.
Mi Napenda mapama, nimekaa Kihengenge, nimeshuhudia wakila punda ambaye alikufa ghaflahamna jamaniii, ila tunapenda nyama balaa
Pole sana. Jitahidi kujifunza utajua tuu.hapa umeniacha mkuu, moja kati ya makosa nmeyafanya ni kuto jifunza lugha za wazee wangu!
Ugali wa uwele ukila leo unaendaa choo baada ya week na njaa inakuuma baada ya mwezi na chooni lazima upige kelele kama uko jando emoji23]amuchi anyambiii
AstakhafirullahKwaiyo we wa singida.. Nakumbuka kuna mnyaturu alikuwa anatuambia singida hamna demu anakataa mwanaume... Mademu wa uko wana nyege nyingi mwilini kuliko maji