nyani bongo wengi tu kwa mfano wapogoro[/QUOTE we mpalu usiniambie.hata hivyo ni kawaida Mungu alitupa kila kitu kisicho sumu tule.as far as nyani haziwadhuru wapogoro acha wajilie vitu adimu.nyama tamu bwana asikwambie mtu.
Mdau mtoa mada hapa anazungumzia vyakula vya makabila tofauti na sio vyakula vya dini tofauti,mbona katumia lugha rahisi sana ????hakuna kabila la wakristo..Yetoooo ethina mburi hiyee!!!
ki2 ya wamasai hii wanamix mahindi na maziwa. Usukumani pia unakutana na kila kitu cha kukaushwa mrenda(mswalu),majan ya kunde, viazi vya kukaushwa al maarufu kama michembe au matobolwa huliwa sana wakat wa kiangazi.