Vyakula vinavyoongeza nguvu na akili katika ubongo wa mwanadamu

GAZETI

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
5,277
6,673
Habari zenu wana JF

Naomba kuuliza kwenu kama kuna mtu anafahamu vyakula vinavyoboresha akili ya mtu. Nimewahi kusikia kuwa vitunguu thaumu ni moja ya vyakula hivyo lakini aliyeniambia alionyesha kutokuwa na uhakika.

Kama kuna anayefahamu naomba anitajie vyakula hivyo na utaratibu wa matumizi yake.

=======================================================
MAJIBU
========================
 
unaujua ubani mweupe chukua punje tatu au nne za ubani mweupe chuku glass weka maji safi tia punje tatu au nne za ubani roweka kuanzia usiku paka asubuhi kunya hayo maji ni dawa ya ubongo kwa mtu mwenye tabia ya kusahau sahau
 
nilisoma sehemu ndizi mbivu (zisiwe zimekaa kwenye friji) ukipendelea kula mara kwa mara zinaongeza uwezo wa kumbukumbu.
 
Naomba niongezee hapa kwamba nikifanya mazoezi nakuwa na uwezo mkubwa wa kukumbuka na kuhifadhi mambo, Kipimo changu hasa kinakuwa kwenye namba za simu huwa ninaweza kuhifadhi namba nyingi zaidi kichwani bila matatizo tatizo ni pale ninapoacha mazoezi ile hali hupotea, hivyo naomba msaada zaidi kwa mambo mengine licha ya vyakula ambayo yanaweza kuboresha Afya ya akili.
 
nilisoma sehemu ndizi mbivu (zisiwe zimekaa kwenye friji) ukipendelea kula mara kwa mara zinaongeza uwezo wa kumbukumbu.

Jamani samahani kuuliza sio ujinga, hivi Ndizi mbivu ndo ndizi zipi? mbichi ambazo hazijakomaa au zilizokomaa (Iva)? kwa muda mrefu nimekuwa sielewi maana yake
 
Asali vijiko viwili vya chakula, Lozi (badam)za kusaga vijiko viwili, maziwa fresh ya ng'ombe glass moja. Changanya hivyo vitu pamoja, kunywa kila siku kabla ya kulala.

Baada ya siku 40 utamshinda Rostam Aziz (the most intelligent person in Tanzania) kwa akili.
 
Majani ya kunde huwa yanasifika kwa kuwa na kiwango kikubwa cha provitamin na kama tunavofaham provitamin ni precusor of vitamins mostly vitamin A. So kwakutumia hayo majan ya kunde unaongeza activeness ya brain.vile vile kwa mwenye tatizo ka lako anashauriwa kunywa mchuzi wa nanasi changa.
 
Jamani samahani kuuliza sio ujinga, hivi Ndizi mbivu ndo ndizi zipi? mbichi ambazo hazijakomaa au zilizokomaa (Iva)? kwa muda mrefu nimekuwa sielewi maana yake

ni ndizi zilizoiva.
Nitakubandikia picha yake b'dae uione.
 
Majani ya kunde yaliyopikwa au hata mabichi?
 
Ngano...asili lakn sio Azam.ndio maana waisraeli wana akili sana kwa kuwa wanakula sana ngano..
 
Jamani samahani kuuliza sio ujinga, hivi Ndizi mbivu ndo ndizi zipi? mbichi ambazo hazijakomaa au zilizokomaa (Iva)? kwa muda mrefu nimekuwa sielewi maana yake

unaishi pande zipi usiyejua ndizi mbivu? au watokea pande za kalahari?
 
utakumbuka kweli?mimi nahofia kukwambia kwa sababu najua utayasahau hapahapa.
unakumbuka nimekuambia nini?
 
utakumbuka kweli?mimi nahofia kukwambia kwa sababu najua utayasahau hapahapa.
unakumbuka nimekuambia nini?

Duuh! sijawa msahaulifu kiasi hicho. Ninachotaka ni kuboresha tu uwezo wa akili na kuifahamu aina ya vyakula.
 
Ndizi mbivu ni namba 1, nimeisoma mara nyingi hii, ulizia mikoa 3 ya wala ndizi ingawa sina uhakika kama ile inayoanzia na K huwa wanatumia sana ndizi mbivu, kwa ule unaonzia M....aaa brain ziko safi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…