Vyakula vinavyomfanya mwanamke kuwa mtamu

Vyakula vinavyomfanya mwanamke kuwa mtamu

We ni noma kama unalijua hilo la kubana na kuachia ni tamu kuliko mengine, asikwambie mtu mwanamke ajuaye kubana na kuiachia analifanya tendo liwe burdani, baada ya wangu wife naona nawewe umo Miss Chagga!
najua mkuu
 
Wakuu hapo tutaongelea vyakula vyote but ikija ishu ya chipsi kuku vyote vinamezwa,

mnasem kula hivyo vitu cjui vyatoa vitambii,, mbona hizo chpsi zatoa vitambii
 
Wanaume acheni kututesa asee.....
Hayo mafuta tule, tukiota vitambi mtuseme!!!!!
Hivo hivo tu ilmradi mnakojoa inatosha jamani tuoneeni huruma
Mafuta hayaleti kitambi, sukari nyingi na wanga ndo hunenepesha na kuleta kitambi kwa kuwa inapotunzwa km mafuta kwa matumiz ya baadae uunguaj wake ni mgumu sana, fat ni rahis kuungua hivyo ni nzur kwa afya yako.
 
Utakuwa mkulima wa nanasi wewe, kwa huu mtego wako soko utalikimbia...[emoji12] [emoji23] [emoji1]
 
Wanaume acheni kututesa asee.....
Hayo mafuta tule, tukiota vitambi mtuseme!!!!!
Hivo hivo tu ilmradi mnakojoa inatosha jamani tuoneeni huruma
Huruma mbele ya mtwango jamani
Hiki kichwa kikikasirika hakinaga usamalia mwema we kijulie tu mtekenyo
 
ngoja mi niendelee na yale mazoze ya kubana uke na kuachia .. lile unafanya popote hata kama upo na nani ukihisi unahitaji zoezi unalifanya... maswala ya mafuta tena uwii no plizi domii
Ukimaliza zoezi uje nihakiki
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom