Vyakula vinavyomfanya mwanamke kuwa mtamu

Vyakula vinavyomfanya mwanamke kuwa mtamu

Samaki mwenyewe ana ladha sembuse binadamu akose?Kila mtu ana ladha bwana hakuna cha kula mananasi au mapera.Na isitoshe utamu wa pipi ni mate yako
Aaaaah wapi hebu bugia mkaa harafu uimajin ni pipi
Harafu niambie kama radha itakuwa ya pp
 
Aaaaah wapi hebu bugia mkaa harafu uimajin ni pipi
Harafu niambie kama radha itakuwa ya pp
Mpaka leo unaishi kwa kuimagine?Ukila mkaa utakutana na ladha ya mkaa so siwezi kuimagine kuwa nakula pipi
 
Mbona mambo!! itabidi nirejee kwa Bibi nikamulize vizuri,nilidhani miti ya asili ndio inafanya kazi kumbe mananasi!!
lakini mbona nanasi nakula sana mpaka sometimes nahisi jasho langu linanuka nanasi na sioni kitu,ukinambia miti shamba kuna dawa flani ya kuchemsha ni mizizi kwanza inatia joto mwilini,na unakua kama hujazaa hata mtoto mmoja,yani unajipenda hata mwenyewe na sifa unazipata kemkem na zawadi juu,nanasi,Kiwi,ndizi na Embe nayapenda ajabu
hasa Embe Dodo ya Tanga mmmmmmmmmmmmh matamuuuuuu..
 
Vitunguu mwanamke anatoa harufu mbaya. Annael usiwaingize pori. Utamu wa mwanamke awe na mwanaume sahihi. Mengine stori
 
Wanaume acheni kututesa asee.....
Hayo mafuta tule, tukiota vitambi mtuseme!!!!!
Hivo hivo tu ilmradi mnakojoa inatosha jamani tuoneeni huruma
Raha ya choo ukute kinanukia vizuri, sio unakuta kichafu ukikojoa tu unakimbia
 
Mbona mambo!! itabidi nirejee kwa Bibi nikamulize vizuri,nilidhani miti ya asili ndio inafanya kazi kumbe mananasi!!
lakini mbona nanasi nakula sana mpaka sometimes nahisi jasho langu linanuka nanasi na sioni kitu,ukinambia miti shamba kuna dawa flani ya kuchemsha ni mizizi kwanza inatia joto mwilini,na unakua kama hujazaa hata mtoto mmoja,yani unajipenda hata mwenyewe na sifa unazipata kemkem na zawadi juu,nanasi,Kiwi,ndizi na Embe nayapenda ajabu
hasa Embe Dodo ya Tanga mmmmmmmmmmmmh matamuuuuuu..
Mkuu wewe unayatumia sana lkn bado unajihisi huna utamu?
 
Hili somo limeshindwa kuingia kichwani mwangu maana nimeshindwa kuelewa uhusiano wa hayo matunda na harufu ya papuchi. kuna wadada wanapenda matunda wanaweza hata kufunga nayo ndoa but siamini kama papuchi zao zina ladha tamu kama matunda wanayokula
 
Nani kaongelea harufu hapa?
Hebu soma vizuri
 
Kwa wanawake wa siku hizi hakuna kinachowafanya kuwa watamu kuliko pesa. Kadiri ya pesa unayotoa kwake ndio utamu unaongezeka. Unaweza mpa hata mashamba ya mananasi na vitunguu lakini bila ya pesa hakuna utamu ng'o.
Mashamba ya nanasi halaf utamu empty [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Almond (Lozi)
f1f73222f5107d3fd1f2ba9547e13578.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom