Emc2
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 16,808
- 16,961
- Thread starter
- #41
Ndio maana wanaume wamachepuka sana.Hata ikiwa bwawa naamini atanipenda tu.Ana maupendo ya dhati si ya kuboost kama haya
Wanaume wengi sana wanaishi kwa kuwavumilia sana wanawake. Kwakweli mimi bwawa nakukimbia sina uvumilivu kabisa maana ni kujitakia.