illuh
JF-Expert Member
- Mar 17, 2014
- 1,254
- 701
mmmmhh kwanza hivi viazi vipo tanzania ? na ni wapi?
Sasa mbona Hujawahi nitengenezea?
Sasa mbona Hujawahi nitengenezea?
Wewe hapo umesahau watermelon,nakumbuka kuna kipindi nilikuwa nakula sana matikiti maji+maavocado sikuwa najua side effect yoyote ya hivyo vyakula sasa kuna siku nilikuwa nimelala mchana kuamka nikakuta dushe limenuna kishenzi hadi mishipa ya damu inaonekana mi nikachukulia poa tuu,si unajua tena watoto wa kiume tukiamka dushe huwa linasimama dede nakumbuka nilisubiri dushe lilale for more than 40 minutes wapiiiii ikabidi nitulie ghetto tuu nalisubiri lilale it took about an hour ndo mzee akaanza kulegea,Matikitimaji ni sooo
umesahau karanga
Mi najuaga haya n kwaajiili ya kuongeza damu?