ahaaa so hupendi kuku wa kisasa ila wa kienyeji unatumia eeh,nilianza kukuonea huruma kama hupendi kuku unakosa utamu ,ila kweli hawa kuku wa kisasa mmh madawa kibao. kuna siku Buguruni nimeona kuku hao wamekaangwa wamevimbaa vipande vyake kama mbuzi akii.na wababa,wakaka, wapo wananunua duuh.Kuku toka mdogo mpaka anakua kwa Panadol, Aspini, ARV. Halafu unilishe kirahisi kirahisi tu
Nipo serious,
Chakula cha msibani kwetuMakande ni kisanga na nusu
Ugali sio Ugari.Kuna aina flani ya vyakula wengine tunakula tu ili tusife ila ingekuwa amri au uwezo unaruhusu hakika tusingevigusa kabisa,
Kwangu.
1:Ugari kabichi.
1:Ugari tembele.
Vingine vyote kwangu mwake tu natiririka navyo kama Wali Maharage.
hahahahahahahUnasema kweli mkuu au umekuja kutamanisha watu?
Vinavyokukela??? Vinavyokukera???Kuna aina flani ya vyakula wengine tunakula tu ili tusife ila ingekuwa amri au uwezo unaruhusu hakika tusingevigusa kabisa,
Kwangu.
1:Ugali kabichi.
1:Ugali tembele.
Vingine vyote kwangu mwake tu natiririka navyo kama Wali Maharage.
Mi kuna kitu inaitwa superghet + ugali na mboga za majani yani bora nishinde bila kula!!Kuna aina flani ya vyakula wengine tunakula tu ili tusife ila ingekuwa amri au uwezo unaruhusu hakika tusingevigusa kabisa,
Kwangu.
1:Ugali kabichi.
1:Ugali tembele.
Vingine vyote kwangu mwake tu natiririka navyo kama Wali Maharage.