Shemeji yenu kwanza muda si mrefu ntampiga chini, maana anajua sipendi kuku wa kuchoma, lakini hasikii kila siku ananiletea tu, ananikera sana dah. Nakazi ya kugawa kwa jirani kila siku, mwisho jirani anahisi namlia mingo kumgegeda, kumbe sina nia hioUnasema kweli mkuu au umekuja kutamanisha watu?
Aaah aaah mkuu hain noma kama nia ni kutamanishana mungu anakuonaShemeji yenu kwanza muda si mrefu ntampiga chini, maana anajua sipendi kuku wa kuchoma, lakini hasikii kila siku ananiletea tu. Nakazi ya kugawa kwa jirani kila siku, mwisho jirani anahisi namlia mingo kumgegeda, kumbe sina nia hioView attachment 887610
ni kweli kbs,mimi nayakubali mno makande yawe na kipilipili kwa mbaaliMkuu umesahau ule msemo wa Kinachokupa Raha wewe mwingine kinamnyima usingizi
mkuu una makusudi wewe, akikuletea uwe unanipa mimiii ili kuepusha jirani kukuhisi vibaya hahaaaShemeji yenu kwanza muda si mrefu ntampiga chini, maana anajua sipendi kuku wa kuchoma, lakini hasikii kila siku ananiletea tu, ananikera sana dah. Nakazi ya kugawa kwa jirani kila siku, mwisho jirani anahisi namlia mingo kumgegeda, kumbe sina nia hioView attachment 887610
Watakuja tu, hasa wale waliowahi kuamkia kiporo cha wali maharage weekend saa tano asubuhi, halafu wakapigiwa simu mida ya saa saba kua kuna ofa za bia na mdudu wa kurosti/kuchoma.Nasubiri atakaekuja na jibu la kitimoto ya kurost mkuu?

Aaha mkuu tembele kwangu halipandi ata lipikwe vipi ni sawa na kunipa ugari nile na mchuzi usioungwaMkuu hutaki Tembele, labda Shemeji yetu hajui kupika aisee!!
Ugali tembele (siyo yale ya viazi) yasiive sana niko radhi niwe nakula kila siku ila sio matembele yaliolala.
Dah sawa mkuu, ntafanya hivyo,mkuu una makusudi wewe, akikuletea uwe unanipa mimiii ili kuepusha jirani kukuhisi vibaya hahaaa

mbona kama uko serious hivi wakati mi nahisi unatania, yaani hupendi kuku?? realDah sawa mkuu, ntafanya hivyo,
Maana mi ni mtu wa aibu kweli, halafu naishi peke yangu na yeye peke yake, sasa nahofia nsije kupata tatizo usiku wa manane halafu nikamgongea yeye anipe msaada, akahisi ndio siku yangu ya kuomba malipo ya huduma zangu za take away nlizokua nafanya![]()
Kuna wengine eti huwa wanasusaCha usiku kinaliwa na wote mkuu nafikiri hakuna wa kuja kukisusa.
Kuku toka mdogo mpaka anakua kwa Panadol, Aspirini, ARV. Halafu unilishe kirahisi kirahisi tumbona kama uko serious hivi wakati mi nahisi unatania, yaani hupendi kuku?? real