Vyakula vilivyo na madini ya zinc hivi

Vyakula vilivyo na madini ya zinc hivi

Mjengajiafya

Member
Joined
Feb 2, 2023
Posts
58
Reaction score
44
Faida Za Zinc Katika Mwili

Utafiti umeonyesha kuwa madini ya zinc yana faida nyingi sana katika mwili. Zinc ni muhimu katika utendaji kazi wa vimeng’enya zaidi ya 300 vinavyosaidia shughuli za kimetaboliki, umeng’enyaji wa chakula, ufanyaji kazi wa neva na shughuli nyingine nyingi.

[emoji93]Kuimarisha Kinga Za Mwili
[emoji93]Kuongeza Kasi Ya Uponyaji Wa Vidonda
[emoji93]Uwezekano Wa Kupunguza Baadhi Ya Magonjwa Yanayoendana Na Umri Mkubwa
[emoji93]Yaweza Kusaidia Kutibu Chunusi
[emoji93]Kupunguza Uvimbe (Inflammation)
[emoji93]Zinc ni muhimu katika ukuaji na ufanyaji kazi wa viungo vya uzazi vya mwanaume
 
Vyakula vyenye viwango vikubwa sana vya zinc ni pamoja na:

. Samaki wa magome: chaza, kaa, kome na kamba
. Nyama: nyama ya ng’ombe, nyama ya nguruwe, nyama ya kondoo na nyama ya nyati
. Batamzinga na kuku
. Samaki: Flounder, sadini, samoni na samaki bapa
. Jamii ya kunde: chickpeas, lentils, black beans, kidney beans n.k.
. Mbegu: mbegu za maboga, korosho, hemp seeds, n.k.
. Bidhaa za wanyama: maziwa, mtindi na jibini
. Mayai
. Nafaka nzima: shayiri, quinoa, brown rice n.k.
. Baadhi ya mboga: uyoga, kale, njegere, asparagus, na beet greens
zinc.jpg
 
Vyakula vyenye viwango vikubwa sana vya zinc ni pamoja na:

. Samaki wa magome: chaza, kaa, kome na kamba
. Nyama: nyama ya ng’ombe, nyama ya nguruwe, nyama ya kondoo na nyama ya nyati
. Batamzinga na kuku
. Samaki: Flounder, sadini, samoni na samaki bapa
. Jamii ya kunde: chickpeas, lentils, black beans, kidney beans n.k.
. Mbegu: mbegu za maboga, korosho, hemp seeds, n.k.
. Bidhaa za wanyama: maziwa, mtindi na jibini
. Mayai
. Nafaka nzima: shayiri, quinoa, brown rice n.k.
. Baadhi ya mboga: uyoga, kale, njegere, asparagus, na beet greensView attachment 2506256
Kazi ya zinc mwilini
 
Kazi ya zinc mwilini
Baadhi ya kazi zake ni

[emoji93]Kuimarisha Kinga Za Mwili
[emoji93]Kuongeza Kasi Ya Uponyaji Wa Vidonda
[emoji93]Uwezekano Wa Kupunguza Baadhi Ya Magonjwa Yanayoendana Na Umri Mkubwa
[emoji93]Yaweza Kusaidia Kutibu Chunusi
[emoji93]Kupunguza Uvimbe (Inflammation)
[emoji93]Zinc ni muhimu katika ukuaji na ufanyaji kazi wa viungo vya uzazi vya mwanaume
 
Baadhi ya kazi zake ni

[emoji93]Kuimarisha Kinga Za Mwili
[emoji93]Kuongeza Kasi Ya Uponyaji Wa Vidonda
[emoji93]Uwezekano Wa Kupunguza Baadhi Ya Magonjwa Yanayoendana Na Umri Mkubwa
[emoji93]Yaweza Kusaidia Kutibu Chunusi
[emoji93]Kupunguza Uvimbe (Inflammation)
[emoji93]Zinc ni muhimu katika ukuaji na ufanyaji kazi wa viungo vya uzazi vya mwanaume
Wazee wetu wazamani haya mambo yalikua hakuna maana vyakula walipata polini,siku hizi tunakula mavitu artificial sana tunakosa milo bora
 
Ni sahihi kabisa kiongozi , saizi mpaka tupate kwenye tiba lishe badala yakuwa tungekuwa tunakula wenyewe tu vitu asilia
 
Back
Top Bottom