gilldenu
JF-Expert Member
- Mar 25, 2015
- 2,914
- 3,002
Chair fire ni nini mkuu????Mkuu Mbaga jr, chair fire hafai kuliwa wataalamu wanasema kuwa ukizoea sana kula nyama ya chair fire kuna hatari kubwa ya mtu kugeuka shoga kwa sababu katika wanyama wanaofanya ushoga ni jamii ya nyani na chair fire na kama utakumbuka au unajua wataalamu wa lishe wanasema "we/you are what we/you eat".
Ukiangalia historia ya mashoga wengi utakuta walianza kula chair fire toka wakingali wadogo hadi ukubwani wanaendelea kula.
Chair fire ni "sumu" yenye uhai.