Joseph furugutu
Member
- Jan 4, 2021
- 5
- 7
“Ukitaka vitu vya thamani vije kwenye maisha yako hakikisha umeyapa uthamani pia maisha yako, hakikisha una kitu cha thamani ndani yako(una TALANTA, KIPAJI au UJUZI fulani), hauwezi kupata ajira ya mamilioni ya fedha kama hauna ujuzi fulani, uwezo fulani au kipaji fulani kinachojiuza kisoko, narudia tena ukitaka vitu vya thamani vikufuate yape maisha yako uthamani pia”
Email. Jleonard543@gmail.com
Mwl.Joseph Leonard
Email. Jleonard543@gmail.com
Mwl.Joseph Leonard