vya machizi

issac77

JF-Expert Member
Apr 26, 2013
3,192
5,601
ukimwona mpenzi wako wa
zamani anatoka na mwingine
wala usipanic, chukulia poa
sababu hata vitu tutupavyo
jalalani huliwa na machizi/wehu
 
Inategemea ni nani alimwacha mwenzake. Kama wewe ndiye uliyeachwa itakuuma sana lakini kama wewe ndiye uliyemwacha utachukulia powa tu.
 
Back
Top Bottom