vya leo leo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

vya leo leo

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by snochet, Sep 12, 2012.

 1. snochet

  snochet JF-Expert Member

  #1
  Sep 12, 2012
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 1,271
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  1.Ukipata demu anaitwa ROSE,MUHANDO with care...

  2.
  Dem anamwambia jamaa wake, "Nakupenda ila mambo ngono sahau.ntafanya na mme atakayenioa."Jamaa nae anamwambia, "ni sawa ila nawe mambo ya kuniomba pesa uwache,namhifadhia mke ntakayemuoa!!"

  3.
  Mtoto wa miaka tano aliwapata wazazi wake wakifanya mapenzi,mama ndie aliyekuwa juu.Mtoto akauliza wanafanya nini,mama akajibu, "Unajua baba yako ako tumbo kubwa .humo ndani kumejaa hewa sasa mimi najaribu kupunguza hewa!"Mtoto akamwambia mamake, "mama,unafanya kazi bure,"Mama akauliza , "mbona wasema ivo?"mtoto akajibu, "kwasababu kila uendapo kazini,mfanyikazi hupiga magoti baba akiwa amesimama kisha ANAONGEZA HEWA TENA!!!!!!"

  4.
  Msichana flani alienda hospitalini ili ajuzwe njia kutopata mimba,Hapo nje akaona kijikaratasi kimeandikwa;TUNA DAWA ZA KUKINGA KUPATA MIMBA.PIA,KUNA NJIA ZINGINE AMBAZO MADAKTARI WETU WATAKUJUZA.akaingia ndani akamwambia daktari, "Nataka unipe dawa ama unionyeshe njia zingine za kutopata mimba".Daktarh akachukua Box ya condom akampa.Msichana(hakua anajua Condom) akaulizwa, "nimeze hizi dawa na maji ama maziwa?"Daktari akamjibu. . "Meza na MB**!!!!!!!!"

   
 2. mgodi

  mgodi JF-Expert Member

  #2
  Sep 12, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,306
  Likes Received: 974
  Trophy Points: 280
  hiyo #2 na 3, kwangu ndiyo mzuka.
   
Loading...