Vya kiume

Vya kiume

MadameX

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2009
Posts
7,792
Reaction score
3,859
DSC_0555.JPG

No comment

DSC_0544.JPG

Cha Kiume in Pozi
 
Hawa warembo mara nyingi nawakutaga pale Katumba Bar Kinondoni na shost wao Lulu kimwana wa Twanga Pepeta
 
Hawa wote wapo Dar,Kundi lao wapo watatu na demu mmoja wapo sana mitaa ya Kinondoni

hawa ni victims tu wa malezi
hawakubajtika kupata malezi bora

tu avoid kuwachukia na kuwanyanyasa
tushkuru mungu na blessings alizotupa na kutuepusha na mabalaa ya dunia
 
Hawa wote ni wakazi wa Magomeni na wanapatikana sana Kwa Frank Pub na Lango la jiji, ukipata nafasi ya kusikia story zao za jinsi walivyoanza huo umarhun unaweza kulia, wengi wao wameharibiwa na ndugu zao wa damu kabisa, kwa sababu ya haya mambo ya kiafrika ya kulaza watoto wadogo na watu wazima chumba kimoja bila kuwa na ufatiliaji! Na wengine ni boarding zetu za kiswahili hizi! Huyo mmoja anaitwa Bilal mashauzi, ana wenzake kina Aunt Khamis na wengine wengi, wako kibao!
 
Is Cooper Style I mean Anderson Cooper's product?
 
Naamini kabisa mazingira, malezi plays a big role. Hasa maisha yetu haya ya uswahili ni shida kweli, kuna michezo ya ajabu ajabu
 
Hawa wote ni wakazi wa Magomeni na wanapatikana sana Kwa Frank Pub na Lango la jiji, ukipata nafasi ya kusikia story zao za jinsi walivyoanza huo umarhun unaweza kulia, wengi wao wameharibiwa na ndugu zao wa damu kabisa, kwa sababu ya haya mambo ya kiafrika ya kulaza watoto wadogo na watu wazima chumba kimoja bila kuwa na ufatiliaji! Na wengine ni boarding zetu za kiswahili hizi! Huyo mmoja anaitwa Bilal mashauzi, ana wenzake kina Aunt Khamis na wengine wengi, wako kibao!

mkuu umesema kweli, binafsi mimi kwangu ukija mgeni wa kiume utaishia kulala kordoni ama sebuleni, silazi mgeni na mwanangu labda awe babu ama bibi yake basi. hii imetokea na kuna mtu alitaka kumuua mdogo wake wa kiume baada ya kumlawiti mwanae hadi akaharibika uani kwake.
 
Hawa warembo mara nyingi nawakutaga pale Katumba Bar Kinondoni na shost wao Lulu kimwana wa Twanga Pepeta

Hii Kinondoni iko Unguja siku hizi? Nilimsikia The Boss akisema hivyo hapo juu.
 
Back
Top Bottom