Nakubaliana na wewe, hata Land Cruiser zenyewe siyo zote, kuna zile tropical edition kama mkonga, hazina electronics nyingi, hata defender lkn siyo hizi za sasa hivi labda zile zamani hivi td5 sahau ni bomu usipime, ukitaka kutumia 4wd unashuka kwanza tairi za mbele unlock twende kazi!!