myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,143
Nahitaji vw polo. Kama unayo weka hapa, mwaka 2005 kuendelea
Unajitafutia matatizo. Opt for IST Or RUNX or ALlEX.

una ugonjwa wa kutoyota wewe au umekalishwa gari ni aina hizo tu
Polo ni ugongwa.
Nahitaji vw polo. Kama unayo weka hapa, mwaka 2005 kuendelea
Nahitaji vw polo. Kama unayo weka hapa, mwaka 2005 kuendelea
una ugonjwa wa kutoyota wewe au umekalishwa gari ni aina hizo tu
Msimtishe mwenzenu. Polo ni gari nzuri sana, imara na iko stable sana barabarani. Tatizo ni kwamba haya magari kwa sasa bado hayana supplier wa spea zake mjini lakini kama mtu akiwa na uhakika wa supply ya spareparts, ni gari nzuri mno na iko comfortable. Ninazungumza kutokana na uzoefu wa hili gari.
Tiba

Watu wa ajabu! Mimi sikutaka ushauri kuhusu vw.nataka mtu anayo ipo vizuri tuelewane. Nna bmw naagiza spare singapore nilikoitoa. Advantage ya kununua bongo unaweza kumkuta aliepaki ukapata kwa bei nzuri.sio kila anaeuliza gari hazijui.