VVU & Sheria | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

VVU & Sheria

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by MUHOJA-VENTURE, Jan 12, 2012.

 1. M

  MUHOJA-VENTURE Member

  #1
  Jan 12, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 12
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Zingatia ukimwi ulivyoenea na unavyozidi kutafuna nguvu kazi ya Tanzania je, bunge likitunga sheria ya kuwa kila wawili wanaotaka kufunga ndoa wapimwe afya zao juu ya VVU sheria hiyo itakuwa halali? kwa maslahi ya nani?. Na kama haitakuwa halali ni kwa maslahi ya nani?
   
Loading...